GET /api/v0.1/hansard/entries/966528/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 966528,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/966528/?format=api",
"text_counter": 27,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili niweze kuwakaribisha Waheshimiwa kutoka Kaunti ya Kilifi. Ninawakaribisha ili waweze kuona vile Seneti inaendesha kazi yake katika Bunge letu. Ninawasihii Waheshimiwa kwa sababu hao ndio jicho letu katika kaunti zote 47 ambazo zinawakilishwa na Seneta mmoja ndani ya jumba la Seneti. Kwa hivyo, ninawakaribisha ili muone tunavyoendesha shughuli za Bunge. Mko na bahati kuwa na Seneta ambaye ni jaji mstaafu katika Serikali yetu ya Kenya, Sen. Madzayo. Mara nyingi, yeye husimama kidete kuwatetea watu wa Kilifi."
}