GET /api/v0.1/hansard/entries/968904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 968904,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/968904/?format=api",
    "text_counter": 450,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naomba kuwasilisha Hoja ifuatayo: THAT, this House adopts the Report of the Public Investments Committee on its Inquiry into the Safety of Ferries as observed in the Audited Accounts of Kenya Ferry Services for the Financial Year 2016/2017,laid on the Table of the House on Tuesday, December 3, 2019. Katika Ripoti yake ya mwaka wa 2016/2017, Mkaguzi Mkuu alitaja na kuweka wazi kuwa milango ya ferry haikuwa inafanya kazi na ferry zilikuwa zinafanya kazi bila marekebisho kwa mda. Tunapoongea sasa hivi, dakika chache zilizopita, kuna ferry ambayo imekwama katikati ya bahari na ferry nyingine imeitwa kuivuta."
}