GET /api/v0.1/hansard/entries/968907/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 968907,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/968907/?format=api",
"text_counter": 453,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "imesababishwa na milango kutoafanya kazi. Waswahili wana msemo ya kuwa tunatupa shilingi ili tuokote penny. Hatutengenezi lakini tunazidi kudidimia. Katika ukaguzi wetu, tuliita Kenya Maritime Authority (KMA), Waziri mhusika, Kenya Ferry Services (KFS) na tukaenda hadi kwa feri zenyewe. Tunaomba Bunge likubaliane na nasi. Ninajua kuwa ni tembe chungu na sindano chungu ambao lazima tuikubali ili pawe na mwelekeo bora. Kwanza shirika la KFS, Ripoti hii ikikubaliwa na Bunge inafaa kuhakikisha kuwa feri ya MV Harambee imewekwa kando na ifanyiwe dry docking ama ukaguzi na utengezaji wa feri kwenye kitanda chake pale chini."
}