GET /api/v0.1/hansard/entries/969340/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 969340,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969340/?format=api",
    "text_counter": 416,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lungalunga, JP",
    "speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Kulingana na Ripoti hii, kuna umuhimu Serikali iwe katika zile pesa zinaombwa na shirika kama hili, zipatiwa kwa sababu hili si jambo la barabara wala si jambo la kutumika kiholela lakini ni jambo ambalo kila siku linabeba watu na hivi vivukio ambavyo viko ndani ya nchi yetu. Si ndege, ferry, ni lazima zile pesa ambazo wakiomba wapatiwe ili tusinyooshe vidole kwa wale wanaosimamia mashirika kama haya. Ripoti hii pia imependekeza kuwa katika hizi feri, zikiwa zinatumika kila siku, ni lazima wale watakao kuwa pale ndani kuwe na wale wapiga mbizi ambao wataweza kusaidi kwa majanga kwa wakati wowote."
}