GET /api/v0.1/hansard/entries/969349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 969349,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969349/?format=api",
    "text_counter": 425,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kibwezi West, Independent",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Patrick Musimba",
    "speaker": {
        "id": 1804,
        "legal_name": "Patrick Mweu Musimba",
        "slug": "patrick-mweu-musimba"
    },
    "content": " Ahsante kwa kunipa fursa hii. Nilikuwa nataka kuipatia kongole Kamati husika na kusema umuhimu wa hizi jahazi kuvukia pale Likoni ni muhimu sana kwa ajili ya usafirisaji wa goods nyingi ambazo zinaingia nchi hii. Kwa hivyo, ni muhimu watu watimize majukumu yao."
}