GET /api/v0.1/hansard/entries/969351/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 969351,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969351/?format=api",
"text_counter": 427,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kibwezi West, Independent",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Patrick Musimba",
"speaker": {
"id": 1804,
"legal_name": "Patrick Mweu Musimba",
"slug": "patrick-mweu-musimba"
},
"content": " Wajua ni muhimu kujitahidi kwa lugha yetu ya kitaifa ili tuendelee mbele. Lakini umuhimu wa hii Ripoti ambayo imependekezwa hapa na Mhe. Abdullswamad inatuelekeza kushugulikia maswala ya usalama kwa kila kipengele ambacho tunashughulikia. Kwa hayo machache, nataka niwaunge mkono na kuwapa kongole wanakamati kwa Ripoti ambayo wamefanikisha hapa Bungeni. Ahsante sana."
}