GET /api/v0.1/hansard/entries/969356/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 969356,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969356/?format=api",
    "text_counter": 432,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Mhe. Naibu wa Muda, ningependa tu kutoa shukrani na kuwajulisha wenzangu ya kuwa ifikapo 6.00 p.m. na hatujaweza kumaliza, nataka kufafanua ili wenzangu wafahamu kwa nini tunakata mazungumzo. Ni kwa sababu Mhe. K’oyoo alikuwa ameomba ikifika 6.00 p.m., Bunge lisimamishwe lizungumzie swala la maafa ya mafuriko."
}