GET /api/v0.1/hansard/entries/969414/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 969414,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969414/?format=api",
"text_counter": 490,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Mafuriko yanaathiri sehemu nyingi za Kenya, Lamu ikiwa mojawapo. Kabla ya kutoa lawama, ningependa kushuru Serikali kwa jitihada zake lakini ukweli ni kwamba kazi ya ziada inafaa kufanyika. Maeneo ya Moa na Chalaluma huko Lamu yameathirika pakubwa na mafuriko."
}