GET /api/v0.1/hansard/entries/969416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 969416,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969416/?format=api",
    "text_counter": 492,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Ukienda Hindi, majirani zetu nasisi wenyewe, kuna jamii ya Somali na ni wengi. Na hata wa Ijara wanatoka kule wakija kwetu kutafuta malisho. Lakini wakati wa mavuno wanasahau sisi watu wa Lamu. Nataka hili Shirika lijue Lamu ni Kenya na inahitaji huduma zote zile zinapeanwa kwa Wakenya wengine. Hata kama namba za kura ni kidogo na hizi hesabu zimezidi kutuumiza, sisi ni Wakenya na kama vile inavyosemekana kila kura inahesabiwa, haiwezi kwenda mbili kama haijaanza na moja. Sisi ni Wakenya kule na matatizo yako. Naomba Serikali itutambue ili tusiseme tu watu waliotengwa siku zote."
}