GET /api/v0.1/hansard/entries/969417/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 969417,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969417/?format=api",
"text_counter": 493,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Naomba Serikali ipeleke misaada mbali na chakula kama vile blanketi na mambo mengine. Yatasaidia sana. Kuna watu wameathirika na ikiwa hawasaidiwi, inaongeza umaskini. Wenyeji wanajitahidi. Wanafanya kazi mwaka mzima. Lakini ikifika wakati wa mafuriko, vitu vyao vyote vinaenda. Umaskini unazidi."
}