GET /api/v0.1/hansard/entries/969805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 969805,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/969805/?format=api",
    "text_counter": 347,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza ningependa kuunga mkono Hoja ya kumpeleka Gavana wa Kiambu, Gavana Waititu. Bw. Spika, swala la kwamba hakupewa nafasi ya kujitetea ni swala ambalo si la kweli. Gavana Waititu alikuwa hapa jana na leo. Jana alisema kwamba alikataa kwenda The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}