GET /api/v0.1/hansard/entries/972121/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 972121,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/972121/?format=api",
"text_counter": 537,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bura, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Wario",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Miguna Miguna ana uhuru wa kurudi Kenya? Imetokea nini Miguna hawezi kurudi Kenya? Ni kwa sababu utawala hauna masikio ya kusikia hukumu ya haki. Miguna hawezi kurudi Kenya. Vivyo hivyo, utawala wa mahakama ni ndoto."
}