GET /api/v0.1/hansard/entries/973105/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 973105,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/973105/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Tulifanya ziara Afrika Mashariki yote. Katika mizunguko yetu tuliona kuna sehemu kadha wa kadha ambazo zinahitaji mkazo. Kwa mfano, tulitembelea Zanzibari, tukakuta maafisa wenu pale hawaielewi lugha ya Kiswahili kabisa. Afadhali sisi angalau tunajaribu. Tulishangaa jinsi wanavyofanya kazi na watu wengini. Ninawasihi mtilie mkazo Kiswahili ili kiwe kikitumika katika nchi zote za Afrika Mashariki. Hii ni kwa sababu kuna biashara inayoendelea baina ya mataifa haya ya Afrika Mashariki. Kwa hivyo, ninafikiri Kiswahili kingedumu zaidi katika nchi zote husika za Afrika Mashariki. Kuna mambo mengi ambayo yanaenda sawa na mengine hayaendi sawa---"
}