GET /api/v0.1/hansard/entries/973214/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 973214,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/973214/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kumshukuru ndugu yangu Sen. Cherargei ambaye ni Seneta mtenda kazi kutoka Nandi kwa kuleta Taarifa hii katika Bunge la Seneti, kuhusu kufungwa kwa kiwanda hiki cha Kibos."
}