GET /api/v0.1/hansard/entries/973219/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 973219,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/973219/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "ilipewa jukumu la kukaa na wakulima wa Kiwanda cha Sukari cha Kibos na kampuni nyingine ambazo zinaendeshwa na Wakenya ili kuwaeleza watu jinsi ya kufanya biashara zao zifaulu. Jambo kama hili ni la kusikitisha kwa sababu Kenya ni miongoni mwa mataifa yanayotegemea ukulima."
}