GET /api/v0.1/hansard/entries/973220/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 973220,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/973220/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Jambo kama hili lilitendeka katika Kaunti ya Kilifi ambako ninatoka. Kulikukwa na wakulima kutoka maeneo bunge ya Ganze, Magarini, Kilifi Kaskazini, Rabai, na Kaloleni. Wakulima hao walikuwa wakipanda korosho. Mimea ya korosho ilikuwa imetapakaa kila mahali. Hali ya uchumi wa Kilifi ilikuwa juu sana kutokana na uuzaji wa korosho, kwa sababu kulikuwa na ofisi za Kenya Cashew Nuts Exporters and Suppliers kule Kilifi."
}