GET /api/v0.1/hansard/entries/973221/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 973221,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/973221/?format=api",
"text_counter": 178,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Vijana zaidi ya 5,000 wakiwemo akina mama walikuwa wakifanya kazi. Kampuni hiyo ilifungwa kwa njia sawa kama ilivyofanyika katika Kibos Sugar Factory. Kampuni hiyo ilipofungwa, zaidi ya wakulima 20,000, akiwemo baba yangu aliyekuwa akipanda korosho, waliathirika. Alikuwa anauza mazao yake kupitia kwa shirika hilo lililokuwa na ofisi kule Kilifi na kupata pesa za kumwezesha kukimu mahitaji ya familia yake na kusomesha watoto wake kama sisi tulivyosomeshwa."
}