GET /api/v0.1/hansard/entries/973464/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 973464,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/973464/?format=api",
    "text_counter": 12,
    "type": "scene",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "“Ni jukumu letu, kama viongozi, kuhakikisha tumelinda Wakenya. Tusije hapa kila wiki ikawa tunazungumzia mambo ambayo hayaleti mwelekeo wowote kwa Wakenya. Wakenyawametuchagua. Wakenya wana imani na viongozi na ni lazima tuwatendee kazi Wakenya wote”"
}