GET /api/v0.1/hansard/entries/973473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 973473,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/973473/?format=api",
    "text_counter": 21,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kiminini, FORD-K",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Chris Wamalwa",
    "speaker": {
        "id": 1889,
        "legal_name": "Chrisantus Wamalwa Wakhungu",
        "slug": "chrisantus-wamalwa-wakhungu"
    },
    "content": " Asante sana, Bwana Spika. Kwa niaba ya familia yangu, watu wa Kiminini Constituency na Trans Nzoia County kwa jumla, ningependa kutoa rambirambi kwa familia ya mwendazake, Mheshimiwa Suleiman Dori, ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu. Mheshimiwa Dori alikuwa mpole na mstaarabu. Tunaomba Mwenyezi Mungu aibariki familia yake na aipatie nguvu wakati huu mgumu. Tunaombea watoto na mke wake kwa sababu tunajua wamelia sana. Lakini tunaomba Mwenyezi Mungu awapanguze machozi."
}