GET /api/v0.1/hansard/entries/974145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974145/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kutoa rambirambi zangu kwa familia, jamaa na ndugu wa marehemu Mhe. Dori ambaye hadi kufa kwake alikuwa Mbunge wa Msambweni na pia Mwenyekiti wa Muungano wa Wabunge wa Pwani, yaani, Coast Parliamentary Group ."
}