GET /api/v0.1/hansard/entries/974147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974147,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974147/?format=api",
    "text_counter": 34,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Tulisoma naye katika shule moja ya Tudor Day Secondary School. Ijapokuwa nilikuwa mbele yake, sote ni old boys wa shule hiyo. Kwa hakika, alitenda kazi zake kwa nia ya kusaidia wananchi na kuendeleza jamii pamoja na nchi kwa jumla."
}