GET /api/v0.1/hansard/entries/974150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974150,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974150/?format=api",
    "text_counter": 37,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, mambo mengine ambayo ameweza kufanya ni kupigania haki za watu wa Pwani na Wakenya kwa jumla. Alikuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kwamba watu wake wa Msambweni wamepata mashamba na makazi yao kutokana na dhuluma za kihistoria."
}