GET /api/v0.1/hansard/entries/974151/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974151,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974151/?format=api",
    "text_counter": 38,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kama Mwenyekiti wa Muungano wa Coast Parliamentary Group, aliweza kutuweka pamoja sisi kama Wabunge kutoka sehemu ya Pwani. Alichangia pakubwa katika kuhakikisha kwamba jumuia za Kaunti za Pwani zimeweza kuimarika na kusaidia wananchi wa eneo lile."
}