GET /api/v0.1/hansard/entries/974152/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974152,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974152/?format=api",
    "text_counter": 39,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Wiki iliyopita tulikutana na Mhe. Dori hapa katika Bunge. Vile vile, tulikuwa pamoja katika Health Club mpaka siku ya Alhamisi ya Tarehe 22.02.2020. Wiki iliyopita niliwahi kuongea naye siku ya Jumatano wakati tulikuwa tumepanga mkutano wa kupeleka mapendekezo yetu kwa kamati tekelezi ya Building Bridges Initiative (BBI). Alinipigia simu siku hiyo akaniambia kwamba hangeweza kufika Bungeni kwa hivyo, tupange kufanya mkutano wiki iliyofuata."
}