GET /api/v0.1/hansard/entries/974153/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974153,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974153/?format=api",
    "text_counter": 40,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Siku ya Jumamosi asubuhi nilipata ripoti kwamba alilkuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika Agha Khan Hospital, Mombasa. Niliwahi kuenda hapo hospitalini lakini kwa bahati mbaya sikuweza kumwona kwa sababu hali yake ilikuwa mbaya kidogo. Vile vile, kutokana na maradhi aliyokuwa nayo madaktari walikuwa wameshauri kwamba asiweze kuonekana. Jana asubuhi tulipata habari za kuondoka kwake katika ulimwengu. Twaomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema."
}