GET /api/v0.1/hansard/entries/974154/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974154,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974154/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kifo kinaweza kupata mtu yeyote mahali popote. Kwa hakika, kifo cha ndugu yetu ni funzo kwetu sisi kwa sababu katika ulimwengu tumepewa fursa ya kusaidia binadamu wenzetu na kuhakikisha kwamba tunaacha alama kwa yale tumefanya. Mwenzetu ameweza kufanya mengi katika nyanja za elimu katika eneo lake la Msambweni na kuipatia jamii yake ardhi."
}