GET /api/v0.1/hansard/entries/974183/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974183,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974183/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili niweze kutoa risala za rambirambi kama Seneta wa Kaunti ya Kwale. Siku ya Alhamisi nillikuwa nimelazwa katika hospitali ya Aga Khan lakini nilitoka kule alfajiri. Marehemu aliletwa hospitalini siku ya Ijumaa na nikapata taarifa kutoka kwa Sen. Faki kwamba alikuwa katika"
}