GET /api/v0.1/hansard/entries/974200/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974200,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974200/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ningependa kusihi Serikali ya Kaunti ya Kwale ihakikishe kuwa wanafunzi hao 50 ambao wamekuwa wakilipiwa karo na marehemu Mhe. Dori wanaendelea na masomo yao. Mstahiki Gov. Mvurya mwenyewe alikuwa hapo wakati maombi hayo yalikuwa yakifanywa. Kwa niaba ya Seneti, ningependa kumsihi Gov. Mvurya achukuwe nafasi ili kuona kuwa watoto hao hawafukuzwi shuleni. Wanafaa kusoma mpaka wamalize masomo yao."
}