GET /api/v0.1/hansard/entries/974225/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974225,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974225/?format=api",
    "text_counter": 112,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Nakuunga mkono kuwakaribisha wanafunzi na walimu wao kutoka Kaunti ya Kiambu. Ningependa kumtambua Sen. Wamatangi kama kiongozi mwenye bidii. Tumetembea Kaunti ya Kiambu mara nyingi tukiangalia miradi ya barabara. Naamini kwamba watu wa Kaunti ya Kiambu wako sawa."
}