GET /api/v0.1/hansard/entries/974229/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974229,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974229/?format=api",
    "text_counter": 116,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Nakuunga mkono kutoa rambirambi zangu kwa familia ya marehemu mhe. Dori kwa kumpoteza kiungo muhimu katika jamii. Mhe. Dori alikuwa mlezi katika nyumba yake. Kwa kumpoteza Mhe. Dori, ninahakika familia hiyo imempoteza mtu wa maana ambaye watamkumbuka kwa siku nyingi. Sisi sote ni watembezi ulimwenguni. Wakati utakapofika, kila mtu atarudi mavumbini tulikotoka. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}