GET /api/v0.1/hansard/entries/974231/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974231,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974231/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Nikizungumzia ushirikiano, nimgependa kuwapa hadithi fupi. Kuna bwana moja aliyekuwa mkali sana na mke wake mpaka ikawa bibi yake anamuogopa sana kiasi kwamba hawezi kumuambia jambo lolote akiogopa kwamba atakaripiwa. Hivyo, mzee huyo aligonjeka na kuenda hospitali. Kule hospitalini, alipewa kichupa atakachotia mkojo wake wa kwanza akiamka asubuhi. Mzee yule alienda nyumbani na kichupa chake lakini hakumuambia mke wake kazi ya kichupa hicho."
}