GET /api/v0.1/hansard/entries/974232/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974232,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974232/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Asubuhi ilipofika, mzee yule alikojoa ndani ya kichupa alichopewa hospitalini na kukiweka kando ya kitanda. Mke wake alipoamuka, aligonga kichupa cha mzee yule kwa bahati mbaya na mkojo ukamwagika bila mzee yule kujua. Kwa sababu ya ukali wa yule mzee na kutokuwa na ushirikiano na mke wake, mama yule alikata kauli na kuchukua kichupa hicho kisha akaenda akakikojolea yeye mwenyewe na kukirudisha palepale."
}