GET /api/v0.1/hansard/entries/974233/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974233,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974233/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Bw. Spika, wakati mzee yule alipoamuka, hakujua kama kuna kitendawili kilichofanyika. Mzee yule alichukua chupa iliyokuwa na mkojo na kuelekea hospitalini. Baada ya mkojo huo kupimwa, daktari alimuambia mzee yule kwamba hajui kama wampe pongezi au wamuambieaje kwani mkojo wake ulidhihirisha kwamba ana uja uzito."
}