GET /api/v0.1/hansard/entries/974235/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974235,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974235/?format=api",
"text_counter": 122,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Bw. Spika, hayo yote yalitokana kwa sababu ya kukosa ushirikiano. Maseneta na wabunge wa Bunge la Kitaifa wanafaa kushirikiana. Shida inapokuja, tunapaswa kushirikiana kama vile marehemu Mhe. Dori alikuwa kipaumbele kusema kwamba watu washirikiane. Mhe. Dori hakuwa na ubaguzi na mtu yeyote. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Mhe. Dori mahali pema peponi."
}