GET /api/v0.1/hansard/entries/974266/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974266,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974266/?format=api",
"text_counter": 153,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Ni jambo la kusikitisha kwamba watu wanatoa rambirambi zao halafu katikati, tunaanza kujibizana namna hii. Nilikuwepo katika hiyo hafla ya mazishi. Aliyetajwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha ODM aliomba msamaha kwamba: “Nitasema lakini kama nitakanyaga roho za watu wengine, mtanisamehe.” Watu waliposema kwamba si sawa vile alivyoongea, yeye mwenyewe alirudi tena akaomba msamaha: “Kama nimewakosea, basi mnisamehe.” Aliketi na hayo mambo yakamalizika. Sijui kwa sababu gani tunaleta tumbo joto hapa ndani ambayo haifai? The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}