GET /api/v0.1/hansard/entries/974296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 974296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974296/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuomba Taarifa kuambatana na kifungu 48(1) cha Kanuni za Bunge la Seneti. Nimesimama kuomba taarifa kutoka Kamati ya Kudumu ya Barabara na Uchukuzi kuhusu ubomoaji wa makazi ya watu wa eneo la Mwaeba Ward, Miritini, eneo Bunge la Jomvu katika Kaunti ya Mombasa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}