GET /api/v0.1/hansard/entries/974297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974297,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974297/?format=api",
    "text_counter": 184,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kwenye taarifa hiyo, Kamati inafaa kueleza kwanza sababu ya Shirika la Usimamizi wa Vinywanja vya Ndege, Kenya Airports Authority (KAA), kuwavunjia makazi wakaazi wa eneo la Mwaeba wanaoishi karibu na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Moi, Jijini Mombasa. Pili, kueleza mikakati iliyowekwa na Serikali kuzilipa ridhaa na kuzipa---"
}