GET /api/v0.1/hansard/entries/974300/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 974300,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/974300/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, pili, kueleza mikakati iliyowekwa na Serikali kuzilipa ridhaa na kuzipa makazi mbadala zaidi ya familia 100 zilizoathiriwa na ubomoaji huo. Tatu, kueleza ni kwanini waathiriwa wa ubomoaji hawakupewa ilani au taarifa ya mapema kuhama makao yao kabla ya ubomozi kutekelezwa. Nne, kueleza mipango ya kusitisha ubomoaji huo ili kutoa fursa kwa Kamati husika kuchunguza swala hili na kutoa jibu muafaka. Asante."
}