GET /api/v0.1/hansard/entries/975950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 975950,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/975950/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": {
"id": 13509,
"legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
"slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
},
"content": "Kwa hivo, jeshi na vitengo vingine vya usalama lazima viwe hapa. Wakati wanapoajiri watu, wacha tujue ni watu wangapi wamechukuliwa katika kila kata. Hivyo tutaweza kutoa ripoti kwa wananchi waliotuchagua. Tutawaambia waliochukuliwa."
}