GET /api/v0.1/hansard/entries/975951/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 975951,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/975951/?format=api",
    "text_counter": 333,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": "Mwisho, kwa sababu ya muda, inasitikisha sana maana idara kama Kenya Ports Authority (KPA) zamani, kazi zilikuwa zinagawanywa kulingana na usawa wa Kenya. Lakini leo wanaongoza kule juu… Ningependekeza kwamba Bunge hili lingeamuru tufanyiwe audit for thelast five years ya watu ambao wameajiriwa katika bandari ya Mombasa. Mhe. Naibu Spika wa Muda, utashangaa kuwa kwa wale walioajiriwa, asilimia 90… Niko na statistics. Hata kazi za kufagia, kazi ambazo ni za chini kabisa, watu wanatolewa bara kuja kukomboa nyumba Mombasa ili waweze kupata ajira bandarini."
}