GET /api/v0.1/hansard/entries/976119/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976119,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976119/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "hakifananishwi na mtu mwingine yeyote. Yeye ni kiumbe cha kipekee ambacho Mwenyezi Mungu akakipa hadhi kubwa. Vile vile, Bw. Spika, kwa uchache tu, kuna msemo naskia wazungumshi wakizungumza siku hizi, kwamba gavana akiwa mwanaume, mwana chini wake awe mwanamke. Mimi napinga hilo. Nasema kwamba gavana akiwa mwanamke, basi chini yake awe mwanamume kwa sababu twaweza kina mama. Na haya sio mambo na pesa---"
}