GET /api/v0.1/hansard/entries/976133/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976133,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976133/?format=api",
    "text_counter": 177,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Hili ni jambo la kutia moyo sana, kwa sababu limeweza kuwainua wasichana wadogo. Hii ni kwa sababu wao pia watakuwa na matumaini kwamba Serikali inaangalia masilahi yao, na pia kuwa wanaweza kuongoza katika nchi hii. Bw. Spika, nikimalizia ni kwamba hili ni jambo ambalo lazima tuwatie moyo wanawake, wahakikishe kwamba wanaweza kufikia malengo yao kwa upeo mkubwa zaidi."
}