GET /api/v0.1/hansard/entries/976136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976136/?format=api",
    "text_counter": 180,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Inasemekana kwamba kwa kila mwanamke aliyefaulu, kuna mwanamume anayemuunga mkono. Lazima tuhakikishe tunasaidia wanawake kutimiza malengo yao ya kimaisha na vile vile ya ulimwengu utakaofuata. Bi. Spika wa Muda, wasichana wetu lazima walindwe kutokana na itikadi mbovu kama vile ukeketaji, ndoa za mapema na mambo mengine kama ubakaji kwa sababu wao ndio---"
}