GET /api/v0.1/hansard/entries/976146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976146,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976146/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Seneta mwenzangu alisema kwamba wanawake ni viumbe waliotulia sana lakini kwa wanawake kutiuia zaidi, lazima baba awe karibu. Kwa hivyo nawaomba Maseneta wanaume wasikose hafla itakayoandaliwa kusherehekea siku ya akina mama. Katika hafla hiyo, ukiona mama ameketi peke yake, tafadhali nenda ukae karibu naye ili atulie kama maji ya mtungi."
}