GET /api/v0.1/hansard/entries/976598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 976598,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976598/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "kulikuwa na mambo fulani. Mimi kama Mwenyekiti was Kamati ya Ugatuzi ninawapongeza kwa sababu waliyatatua yale maswala sugu kwa njia ya amani na sasa tunajua mambo yanaendelea mbele. Hongera! Mkifika nyumbani, mpeane salamu zetu na mseme tunaangalia kazi nzuri wanayoifanya baada ya misukosuko kidogo."
}