GET /api/v0.1/hansard/entries/976754/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976754,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976754/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nimemsikiza Sen. Wario kwa makini kabisa. Wakati alipoanza kuzungumza, nilisikia akisema kuwa “alipopimwa kichwa.” Kwa hivyo, nikawa sielewi jinsi alivyopimwa kichwa. Unajua mtu akipimwa kichwa, inamaanisha jambo lingine. Nimekuwa nikisubiri kusikia atamaliza vipi, kwa sababu kama alipimwa kichwa, hiyo imeniletea shida; wacha hali ya taharuki inayompata Seneta wa Kaunti wa Jiji la Nairobi. Nilidhani angesema “alipopimwa joto.” Ametoka kwa mambo ya joto, na kuleta mambo mengine ya kurudi kwa mke wake, ambapo badala aseme alipimwa joto, amesema kuwa alipimwa kichwa. Mimi naona kuna hali ya hatari hapo."
}