GET /api/v0.1/hansard/entries/976768/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976768,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976768/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Tunafahamu kuwa Kiswahili ni jangwa kwa watu wengine, haswa wale wanaotoka magharibi mwa Kenya. Kwa hivyo ninapoongea hapa, huenda wasielewe chochote. Ninachomaanisha ni kuwa magonjwa au hata ukosefu wa chakula huenda ukaathiri usalama wa nchi. Wakati kuna vita, ambapo bunduki zinatumika, hali hiyo pia huathiri usalama. Hivyo vyote vinahusiana na usalama katika nchi ya Kenya. Kama mtu ni mgonjwa, hayuko salama. Mtu anapoambukizwa COVID-19, hayuko salama. Nilikuwa naeleza kinagaubaga hali ya usalama wetu unaotishwa na COVID-19 kutoka Bara la Asia. Ukiwa hapai, wakati mambo yanazungumzwa---"
}