GET /api/v0.1/hansard/entries/976773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 976773,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976773/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Jambo ambalo Sen. Wario amesema hapa ni la utata. Hii ni kwa sababu Wabunge 23 katika Bunge la Iran wamepatikana na ugonjwa huo. Kwa hivyo, jambo ambalo Sen. Wario amesema linafaa kujadiliwa kiundani nasi Wabunge. Ikiwa anajishuku, inafaa aende akapimwe ili tujue hali yake ya afya. Sisi kama Wabunge huwa tunasalimiana tunapokuwa katika mikutano. Je, itakuwa vipi mmoja wetu akiambukizwa? Tusichukulie jambo hili kimzaha. Ni jambo ambalo tunafaa kulijadili kiundani. Itakuwaje ugonjwa huo ukitokea hapa Bungeni, tunapokutania ilhali tunakumbatiana?"
}