GET /api/v0.1/hansard/entries/976775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 976775,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976775/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13156,
        "legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
        "slug": "mutula-kilonzo-jnr"
    },
    "content": "Jambo la pili ni kuhusu usalama. Jana tulikutana katika hoteli moja ya kifahari. Tuliambiwa kuwa kulikua na alert, kama alivyotueleza Sen. Farhiya, ilhali Serikali haizungumzii maneno haya. Serikali inafaa kumpatia mtu kazi ya kutoa taarifa, kama vile Dkt. Mutua alivyokuwa akifanya kabla ya kuwa gavana. Hii ni kwa sababu huwezi kutofautisha baina ya taarifa za uongo na za ukweli. Huwezi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}