GET /api/v0.1/hansard/entries/976776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 976776,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/976776/?format=api",
"text_counter": 210,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "kujua kama Msemaji wa Serikali anasema ukweli, ama uongo. Hii ni kwa sababu leo atasema hivi, na kesho vile. Serikali inafaa kutupatia taarifa ya ukweli, kwa sababu hoteli zote za kifahari ziko na alert. Tunafaa kujua nini kinachoendelea. Ikiwa ni mtu anajaribu kututisha, basi tujuzwe. Kuna COVID-19, alerts za majambazi na uvamizi wa nzige. Jameni, tutakimbilia wapi na tutaenda wapi?"
}